Wednesday, December 4, 2013

WUSHU NI HATARI MWANAWANI


Sammo Hung Kam-Bo
– © – Image courtesy gettyimages.com
Sammo Hung Kam-Bo

Photo 1 of 7

JE UNAMFAHAMU MTU MWENYE UWEZO WA KUPAMBANA NA WATU 100


Historia del Wushu

 
LA EVOLUCION DEL WUSHU EN LA HISTORIA DE CHINA
 
 Hace alrededor de 2.500 años a.C., en las llanuras de la parte meridional de China se encontraban las culturas de Yangshao y, posteriormente, Longshan. En ellas ya aparecieron los primeros vestigios de formas de Wushu, aunque primitivas y no sistematizadas utilizaban golpes, puños y agarres, así como armas rudimentarias para las peleas (hachas, lanzas y flechas).
 
Durante las Dinastías Shang (±1766-1122 a.C.) y
Zhou (1122-256 a.C.) ya se mencionaban las artes marciales que se conocían como Quanrong y Chuji. Por esta época, Confucio hacia referencias en sus obras sobre el Arte Militar.
  
Qin Shi Huang Di (221-210 a.C.) trigésimo segundo rey del estado feudal Qin, fue el primer Emperador de la China unificada, fundador de la Dinastía Qin y seguidor de la Escuela Filosófica del Legalismo se opuso fuertemente al Confucionismo y al Taoísmo, mandó destruir toda la literatura de estas corrientes filosóficas. Sin embargo, fomentó el ejercicio físico en sus fuerzas militares e impuso el sistema burocrático feudal.

Buscando los secretos de la juventud eterna y la longevidad, salvó ciertas obras de la quema que serían de gran influencia en el desarrollo del Wushu, como el I Ching (Libro de los Cambios y Mutaciones) y el “Canon de la Medicina Interna”. En esta época al Wushu se le conocía como Xiangbo.
   
En las Dinastías Han del Este y del Oeste (206 a.C hasta 220 d.C.) se comenzó a utilizar el término Wushu, junto con otros apelativos como Shoubo o Wuyi. Predominaban las armas cortas y se experimentó una evolución en su uso.   
 
El Período de los Tres Reinos (220-265 d.C.) destacó por los héroes militares que vivieron en aquellos tiempos, de hecho éstos se inmortalizaron en la novela "la Guerra de los Tres Reinos".
 
Dinastías Jin del Oeste y del Este (265-420). En esta época de unificación el Wushu era denominado Xiangbo y también Quanfa.
 
Durante el período de las Dinastías Sur y Norte (420-581) convivieron y lucharon entre sí un total de hasta nueve reinos, este fue un momento de gran desarrollo de las armas pesadas debido a las continuas luchas.
 
En las Dinastías Sui y Tang (581-907) se volvió a encontrar una época de relativa tranquilidad. Llegaron religiones del exterior y se introdujo el budismo poco a poco. La práctica de las artes marciales ya no eran exclusivas de los militares, pues también se encontraban dentro de las religiones.
 
En la Época de las Cinco Dinastías (907-960) sucedieron numerosas guerras en un período de tiempo muy corto.
 
En las Dinastías Song del Norte y del Sur (960-1279) las tribus invasoras del norte invadían constantemente China. A finales de estas Dinastías los chinos fueron perdiendo el poder hegemónico. El Wushu de los civiles y los religiosos fue aumentando durante las Dinastías invasoras como Liao y Jin.
 
Con la invasión de los Mongoles, Dinastía Yuan (1279-1368), el pueblo Song y las fuerzas militares se unieron para luchar contra los invasores extranjeros. Se comenzó a sistematizar el uso de las 18 armas clásicas. 
 

Begeja wushu club anauwezo wa kukufuza mapigo ya china ukawamudu waalifu

  • China ABC
  • Idhaa ya Kiswahili
  • Safari nchini China
  • Sanduku la barua
  • Uchumi
  • Jamii
  • China na Afrika
  • Utamaduni
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC

  • Watazamaji wa Kenya wasifu Gongfu ya China

    (GMT+08:00) 2009-06-02 19:36:01
    Wachezaji nyota wa Gongfu wa China Bruce Lee na Jackie Chan wanajulikana sasa kote barani Afrika, hata kila mtu anaweza kuiga kidogo vitendo vyao kama walivyofanya kwenye filamu zao. Hivi karibuni shirikisho la mchezo wa Wushu la China lilituma ujumbe wa watu 28 kufanya maonesho ya michezo ya Gongfu barani Afrika, maonesho hayo yamewavutia watazamaji wengi wa Afrika. Tarehe 27 usiku ujumbe huo ulifanya maonesho murua katika kituo cha mkutano cha kimataifa cha Kenyatta huko Nairobi, Kenya. Maonesho hayo yaliwafanya watazamaji wafurahi sana na kupiga makofi mara kwa mara.
    Safari hii ujumbe huo wa Wushu wa China utafanya ziara katika nchi tano, yaani Gabon, Kenya, Zambia, Malawi na Tanzania. Ziara hiyo itaonesha utamaduni wa Wushu wa China kwa watu wa Afrika, ili kuwawezesha wananchi wa Afrika waongeze ufahamu wao kuhusu China na kuhimiza mawasiliano ya kiutamaduni kati ya China na Afrika. Naibu mwenyekiti wa shirikisho la mchezo wa wushu la China Bw. He Qinglong alisema:
    "watu wa Kenya wanapata ufahamu kuhusu Wushu ya China kwa njia ya filamu za Gongfu, wanawajua Jet Li na Jackie Chan. Tunataka kueneza utamaduni wa Wushu kwa watu wa Afrika kwa kupitia shughuli hizo. Tunapenda kujenga daraja la urafiki kati ya China na Afrika, kati ya watu wa China na wa Kenya kwa njia ya Wushu."
    Baada ya maonesho hayo kumalizika, kocha mmoja wa Wushu wa atabaki nchini humo na kutoa mihadhara na mafunzo ya muda mfupi kwa vijana wa Kenya wanaopenda Wushu, ili kuwewezesha waongeze ufahamu wao kuhusu utamaduni wa Wushu wa China. Na kwa wachezaji wa Wushu wa China, hii pia ni mara yao ya kwanza kufanya maonesho barani Afrika, wanaona furaha na fahari sana. Bw. Lu Jie kutoka mkoa wa Anhui alisema:
    "nilianza kujifunza Wushu nilipokuwa na umri wa miaka 11 hadi 12, na nimefanya mazoezi kwa miaka 12. Naona fahari sana kwamba Wushu ya China ina historia ndefu tangu enzi na dahari. Maonesho hayo si kama tu yameonesha mambo mazuri ya nchi yetu, bali pia yanaweza kuhimiza mawasiliano kati ya watu wa nchi mbili."
    Baadhi ya watazamaji wanaonesha hamu kubwa juu ya utamaduni wa Wushu ya China baada ya kutazama maonesho hayo. Kati yao mwanafunzi mmoja anayeitwa Kennedy ambaye anasoma kwenye chuo cha Confucious katika chuo kikuu cha Nairobi cha Kenya, na anapenda kucheza Taijiquan baada ya masomo. Bw. Kennedy alisema, maonesho hayo yamemfumbua macho, pia yameongeza zaidi hamu yake ya kujifunza utamaduni wa China, alisema:
    "naona maonesho ya leo yanavutia sana. Nina matumaini kuwa iko siku nitacheza Gongfu vizuri kama wachezao hao wa China, nitajitahidi kufanya mazoezi. Lakini baadhi ya vitendo vinahitaji unyumbufu wa miwili, wala si rahisi kuvifanya vizuri. Wushu si kama tu ni ustadi wa kujilinda, bali pia inaweza kujenga afya na kuondoa magonjwa, mbali na hayo, Wushu pia inaweza kuhimiza mawasiliano ya kiutamaduni kati ya nchi mbalimbali, tunajifunza mambo mengi kutokana na Wushu."
    Safari hii pia ni mara ya kwanza kwa Mkuu wa kundi la Kayamba Afrika linayojulikana sana nchini Kenya Bw. Juma Odemba kutazama maonesho mazuri ya Wushu kama hayo. Alisema:
    "naona maonesho ya leo yanavutia sana, ni ajabu ya kushangaza. Hii ni mara yangu ya kwanza kutazama mwenyewe maonesho ya Wushu, zamani nilitazama kwenye televisheni, sasa nayaona kwa macho yangu, kweli yanasisimia sana."
    Naye waziri wa utamaduni na urithi wa taifa wa Kenya Bw. William Ole Ntimama pia alitazama maonesho hayo. Alisifu sana maonesho mazuri ya wachezaji wa China, na kusema kuwa China na Kenya ni marafiki wakubwa, nchi hizo mbili zitapanua ushirikiano katika mambo ya utamaduni na kuimarisha maelewano na urafiki kati ya wananchi wa nchi hizo mbili. Bw. Ntimama alisema:
    "China ni rafiki mkubwa zaidi wa Kenya. China ilitambua uhuru wa Kenya na kuanzisha uhusiano wa kibalozi na nchi yetu muda mfupi tu baada ya Kenya kujipatia uhuru. Historia ya Kenya inafanana na ile ya China, zote zilipambana na uvamizi wa wakoloni na kupigania uhuru wa taifa. Tulituma vijana hodari kwenda kusoma nchini China, na wengi wao wamekuwa wataalamu hodari baada ya kurudi. Ni matumaini yangu kuwa China na Kenya zinaweza kuimarisha mawasiliano katika mambo ya utamaduni, na mchezo wa Wushu ni kama chombo kimoja kizuri cha kiutamaduni, wakati kinapoleta furaha kwa watu, hasa vijana wa Kenya pia tunaweza kujifunza mambo mengi kutoka kwake."

    JIFUNZE NAMNA YA KUPAMBANA NA WATU WABAYA KUPTIA BEGEJA WUSHU CLUB

    Jet Li mwaka 2006
    Li Lianjie (amezaliwa tar. 26 Aprili 1963) ni mshindi wa Tuzo za Filamu za Hong Kongo, akiwa kama mwigizaji bora filamu wa Kichina. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jet Li. Jet Li ni mtaalam wa Kung Fu na Wushu. Baada ya miaka mitatu ya mafunzo ya Wushu, Jet Li alipata ushindi wake wa kwanza katika mashindano ya kitaifa ya vikosi vya Wushu kwa mji wa Beijing.
    Akiwa na umri wa miaka 17, Jet Li aliachana na masuala ya Uwushu na badala yake akaja kuwa mwigizaji wa filamu na akabahatika kutoa filamu yake kwanza mnamo mwaka wa 1982 na filamu ilikwenda kwa jina la Shaolin Temple.
    Badala ya hapo akawa anaendelea zaidi na maswala ya filamu na hata kuweza kujulikana katika medani hiyo ya uigizaji wa filamu katika China. Akaja kujipatia umaarufu zaidi pale alipocheza katika mfululizo wa filamu za Once Upon a Time in China, ambamo humo alikuwa akicheza kama shujaa wa kiasili - Wong Fei Hung.
    Kwa upande wa Marekani, Jet Li alianza kucheza kama adui katika filamu ya Lethal Weapon 4 kunako mwaka wa 1998, na kwa upande wa filamu alizocheza Marekani kwa mara ya kwanza na kuwa kama nyota kiongozi ilikuwa katika Romeo Must Die ya mwaka wa 2000.
    Badala ya hapo akawa anashiriki katika mafilamu mengimengi ya ya Hollywood, na hivi karibuni ametoa filamu yake mpya akiwa pamoja na Jackie Chan, na filamu inaitwa The Forbidden Kingdom (2008).

    Filamu alizocheza

    Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo
    1982 Shaolin Temple
    (少林寺 Shao Lin Si)
    Jueh Yuan (覺遠)
    1983 Shaolin Temple 2: Kids from Shaolin
    (少林小子 Shao Lin Xiao Zi)
    San Lung
    1986 Born to Defence Jet
    Shaolin Temple 3: Martial Arts of Shaolin
    (南北少林 Nan Bei Shao Lin)
    Zhi Ming
    1988 Dragon Fight
    (龍在天涯 Long Zai Tian Ya)
    Jimmy Lee
    1989 The Master Jet
    1991 Once Upon a Time in China
    (黃飛鴻 Wong Fei Hung)
    Wong Fei Hung
    Swordsman II
    (笑傲江湖之東方不敗 Xiao Ao Jiang Hu Zhi Dong Fan Bu Bai)
    Ling Hu Cong
    1992 Once Upon a Time in China II
    (黃飛鴻之二男兒當自强 Wong Fei Hung 2: Nan er dang zi qiang)
    Wong Fei Hung
    1993 Tai Chi Master
    (太極張三豐 Tai Ji Zhang San Feng)
    Junbao aka Twin Warriors (USA)
    Fong Sai-yuk
    (方世玉 Fong Sai Yuk)
    Fong Sai Yuk aka The Legend
    Fong Sai Yuk II Fong Sai Yuk aka The Legend 2
    The Evil Cult
    (倚天屠龍記之魔教教主 Yi tian tu long ji zhi mo jiao jiao zhu)
    Zhang Wu Ji aka The Kung Fu Cult Master
    aka
    Lord Of The Wu Tang
    aka Kung Fu Master
    Last Hero in China
    (黃飛鴻之鐵雞斗蜈蚣 Wong Fei-Hung zhi tie ji dou wu gong)
    Wong Fei Hung aka Claws of Steel
    aka Deadly China Hero
    Once Upon a Time in China III Wong Fei Hung
    1994 The Bodyguard From Beijing Allan Hui Ching-yeung/John Chang aka The Defender
    aka Zhong Nan Hai bao biao
    Fist of Legend
    (精武英雄 Jing Wu Ying Xiong)
    Chen Zhen
    Legend of the Red Dragon
    (洪熙官之少林五祖 Hong Xi Guan Zhih Shaolin Wu Zu)
    Hung Hei-Kwun aka The New Legend of Shaolin
    1995 High Risk
    (鼠胆龍威)
    Kit Li aka Meltdown
    My Father is a Hero
    (給爸爸的信 Gei Baba De Sing)
    Kung Wei aka The Enforcer
    aka Letter to Daddy
    1996 Black Mask
    (黑俠 Hei Shia)
    Michael/Simon/Tsui Chik/Black Mask released 1999 in US
    Dr. Wai in "The Scripture with No Words"
    (冒險王 Mao Xian Wong)
    Chow Si-Kit aka Adventure King
    aka The Scripture with No Words
    1997 Once Upon a Time in China VI
    (黃飛鴻之西域雄獅)
    Wong Fei-Hung aka Once Upon a Time in China and America
    1998 Lethal Weapon 4 Wah Sing Ku
    Hitman Fu aka The Hitman
    aka The Contract Killer
    2000 Romeo Must Die Han Sing
    2001 The One Gabe Law/Gabriel Yulaw/Lawless
    Kiss of the Dragon Liu Jian
    2002 Hero
    (英雄 Ying Xiong)
    Nameless aka Hero released 2004 in US
    2003 Cradle 2 the Grave Su
    2004 Jet Li: Rise to Honor (Playstation 2 video game) Kit Yun (voice, motion-capture actor) released 2004 in US
    2005 Unleashed Danny aka Danny The Dog
    2006 Fearless
    (霍元甲 Huo Yuan Jia)
    Huo Yuanjia aka Legend of a Fighter
    2007 The Warlords
    (投名狀 Tou Ming Zhuang)
    Pang Qing Yun
    War Rogue aka "Rogue Assassin" or "Rogue"
    2008 The Forbidden Kingdom
    (功夫之王 Gong Fu Zhi Wang)
    Sun Wukong the Monkey King/Silent Monk
    The Mummy: Tomb of the Dragon Emperor Emperor Qin Shi Huang
    2010 The Forbidden Kingdom 2 Sun Wukong

    Viungo vya nje

    WikiMedia Commons
    Wikimedia Commons ina media kuhusu:

    Jifunze mapigo ya kichina kupitia Wushu

    Wushu"ya Waislamu wa China na jinsi ilivyowasaidia kupambana na dhulma dhidi yao.   
    "WAISLAMU hodari kumi tu waliolinda nchi". Huo ni mmoja ya misemo mashuhuri katika enzi za Yuam nchini China ikiisifu juhudi ya Waislamu kutokana na uhodari wao wa juu katika "wushu" (sanaa ya mapigano). MUSSA ALLY anaielezea zaidi "Wushu"ya Waislamu wa China na jinsi ilivyowasaidia kupambana na dhulma dhidi yao. 
    HIVI leo huwezi ukaizungumzia historia ndefu ya sanaa ya mapigano ya Uchina na ikawa kamili bila kutaja mchango wa Waislamu katika kuiboresha fahari ya taifa hilo (martial art), ambayo kwa sasa imeshatoka nje ya mipaka ya nchi hiyo ya Asia na kuendea kote duniani. 
    Ujasiri wa kutenda, nidhamu iliyokomaa (si nidhamu ya woga kama walivyo baadhi ya Waislamu wa Tanzania). Afya njema, utoaji wa hoja zenye mashiko, umoja, hekma, na nguvu inapohitajika ni miongoni mwa sifa za msingi za Waislamu wa China zinazoinawirisha sanaa ya kisasa ya mapigano ya nchi hiyo. 
    Mapambano ya kutumia mikono kwa kubadilishana makonde sura kwa sura, mtu na mtu au mtu na watu ni moja ya aina za wushuya Waislamu. 
    Kutumia ala nzito na nyepesi, fupi na ndefu, kali na butu ni sehemu nyingine ya Wushu ambayo Waislamu wa China wanajivunia kuwa nayo. 
    Tukirejea katika ngumi (makonde) moja ya aina mashuhuri za ngumi ambazo Waislamu wanatumia toka katika utajiri wao mkubwa wa "Wushu" ni makonde ya "cha" yaliyoanzishwa katika zama za Ming na kuimarika vyema wakati wa Qing. 
    Mwanzilishi wa makonde hayo ni kijana mbichi aliyeitawala Chamir, aliyetokea China Magharibi. 
    Kwa mujibu wa historia ya Waislamu China kijana huyo mwenye moyo thabiti wa kimapindizi na nia ya kujifunza, alikuwa katika wito wa mfalme wa kuwatimua wavamizi wa Kijapani katikati ya enzi za Ming ambapo alijivuta hadi kijijini Zhangyin Zhuang wilayani Guan mkoani Shandong alipopata maradhi ya homa ya matumbo. 
    Hapo alipokelewa na Waislamu waliomuuguza vyema hadi kupona kwake. Ni wakati huo kijana Chamir alipowafunza Waislamu hao staili moja ya makonde kama shukrani ya kumkirimu. 
    Kwa heshma na kumbukumbu yake, Waislamu wa Zhangyin Zhuang wakayaita makonde hayo jina la Chamir kwa kifupi "Cha". Na tangu hapo aina hiyo ikavuka mipaka ya Guan na kuendea katika maeneo mengine ya nchi. 
    Historia inatufuhamisha kuwa kwa ujumla Wushu ya Waislamu wa China ina tabia ya Wushu ya kabila la Wahan na tabia nyingine ya kabila la Wahai ambayo ni miongoni mwa makabila 56 yanayofuata Uislamu ipasavyo nchini China, yakiwa na jumla ya Waumini wasiopungua milioni 14 na misikiti isiyopungua 30,000 mikoani kote. 
    Katika maandiko yake kuhusiana na Uislamu nchini China, msomi mashuhuri wa Kiislamu nchini humo Bw. Feng Jinyilan katika kile alichokiita: "Marejeo teule juu ya Uislamu Uchina" pamoja na Bw. Li Xinghua wakieleza historia ya jamii hiyo, wanaonisha wazi kwamba nyakati za mwisho za zama za Ming, sanaa ya mapigano (martial Art) ilikuwa mashuhuri na kutandawaa nchi nzima. 
    Mnamo mwaka 1642Bw. Li Zicheng kiongozi wa Mapinduzi ya Wakulima alizunguka mji wa Chengzhou. 
    Miongoni mwa wapiganaji alio watumaini mno, ni wale mastadi wa Wushu wa Kiislamu wasiopungua 300 waliokuwa chini ya imamu katika kambi maalumu. Pia alikuwapo jemedari wa Kiislamu aliyeitwa Ma. Shaouying aliyeongoza kikosi cha Waislamu kilichojiunga na mapinduzi ya mwishoni mwa enzi yautawala wa Ming uliong’olewa mamlakani na madarakani mapema mwaka 1644. Huo ni ushahidi wa wazi wakuonyesha mchango wa Wushu ya Kiislamu katika kuleta mageuzi nchini China.. 
    Historia inatufahamisha kwamba mnamo mwaka 1616 hadi 1911 (Enzi ya Qing) dhulma, unyanyasaji uliopea (umwembechai) toka kwa watawala wenye mamlaka na madaraka katika jamii iliogubika jamii ya Waislamu. 
    Hivyo basi Waislamu hawakuvumilia "umwembechai" huo dhidi yao, wakaanzisha mapambano makubwa ya mfululizo dhidi ya madhalimu –"wanaowamwembechai.. 
    "Waislamu walitambua kwamba wakitaka kulinda dini yao, iliwabidi kuwa na afya njema, kwa hiyo hulka za ujasiri, umoja na kutoogopa watu wenye mabavu zikalelewa na kuimarishwa. Katika misikiti ya kila pahala zilitengwa nyanja za kufanyia mazoezi ya Wushu kila saa za asubuhi, jioni na baada ya sala, watu wote (waumini wote) walijikusanya pamoja kufanya mazoezi ya kuinua ustadi wa Wushu (sanaa ya mapigano). Katika hali hii ya mazingira ya kijamii, wushu ya Waislamu iliendelea kwa upesi na wakatokea wanafunzi hodari wa Wushu kizazi kwa kizazi", rejea Feng Tinyuan kwenye Uislamu katika China, wushu ya Waislamu Uk. 71-72. Foreing language press Baiwanzhuang – Beijing. 
    Tarehe inaonyesha wazi kwamba mwaka 1911 hadi 1949 (zama za Jamuhuri ya Uchina) kabila la Wahui (ambalo ni moja ya makabila ya Waislamu) kulikuwa na mabingwa wengi mno wa Wushu ukimuacha bingwa mashuhuri Bw. Liu Baonii. 
    Miongoni mwao ni Chan Zhengfang, muumini mzuri wa Kiislamu kijijini Zhanyying Zhuang, wilayani Guan huko Shandong. 
    Bwana huyu alihamia Honan mbeleni. Uhodari wake wa sanaa ya mapigano uliwaacha wengi vinywa wazi. 
    Matunda yake ni pamoja na mabingwa mashuhuri hivi leo nchini humo na duniani kiujumla kama kina Zhanga Xitai, He Zhengquan, Ma Zhenbag na wengineo wengi walioendea hasa katika mikoa ya Shanzi, Hebei, Shandong, Honan, Shaanxi, Jiangsu, Shanghai na hata Hubei. 
    Kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni za kile kinachojulikana kama "China mpya", asili ya wanawushu wa Kiislamu wa kabila la Hui, imepata maendeleo maradufu. 
    Mnamo katikati ya karne hii, waumini wa Kiislamu wa Shandong na Hebei wameasisi taasisi muhimu ya kuchunguza kwa undani zaidi sana ya mapigano ya Kiislamu toka kabila la Wahui. 
    Chama cha sanaa ya mapigano ya Kiislamu katika misikiti kikaasisiwa kuendeza fani hiyo kwa ummah. 
    Wakawataka mastadi wa Wushu ya Kiislamu kuzama chini mno katika sanaa hiyo azizi hivyo kurejesha utaalamu wa Wushu wa kale ili usipotee. 
    Hivi sasa wanataaluma hiyo wenye ubingwa wa hali ya juu sana katika umma wa Kiislamu Uchina, wananza kupokea kwa wingi wanashule wa rika zote (wazee, watoto kwa vijana, wake, kwa waume) kuwafunza wushu; na mkazo mkubwa umewekwa kwa kizazi kipya, na matunda yake yanaendelea kuonekana. 
    Kwa mujibu wa mtafiti mashuhuri wa Kiislamu, Feng Jinyuan, wushu ya Kiislamu ya kabila la Wahui inatabia zake mahsusi, ameainisha baadhi yake kama ifuatavyo:- 
    Waislamu wa Kihui wanahistoria ndefu ya uchezaji wa wushu. Kila kizazi kilikuza na kinaendelea kutoa mastadi ambao wametoa mchango mkubwa mno katika kuiboresha na kuitajirisha sanaa ya mapigano (wushu) ya China. 
    Fani hiyo iliasisi kwa nyakati za Ming na kustawishwa sana enzi za Qing;na ikawa ni jambo la lazima kujifunza mbinu za kujihami ili kulinda maisha ya jamii katika zama za udikteta umwembechai na ukandamizaji wa kitaifa. Sanaa hiyo ilifanya kazi isiyosahaulika katika jamii hususan kuimarisha afya, kujenga kuta imara za hulka ndani ya jamii ya Kiislamu hasa za kuvumilia shida na kusaidiana. 
    Aidha, kutoogopa kufanyiwa ukatili, kuwa wakarimu na kusaidia wengine na kutetea kwa nguvu zote haki katika jamii. 
    Sanaa hiyo ina taaluma nyingi, ambazo ni matokeo ya maendeleo ya mfululizo juu ya msingi wa kupokea vilivyo bora toka kwa wengine, kufafanua na kurekebisha kizazi kwa kizazi hata kufikia sasa. 
    Sanaa hiyo inatazamana na kipindi kipya cha maendeleo, imeshakuwa harakati za kawaida za nadharia za kuimarisha afya za watu na umoja wa makabila toka haja za kulinda kabila, dini na kujilinda katika jamii ya kimwinyi. Sasa Wushu imeenea zaidi. 
    Kiuhakika sanaa hiyo ya Kiislamu inayopendwa kote duniani hata sasa,bado haijatiliwa uzito na jamii nyingine za Kiislamu hasa za Afrika ya Mashariki kama Tanzania, kinyume chake inawafaidisha watu wa jamii nyingine wasio na asili nayo kuwakandamiza Waislamu! 
    Ukiacha wenzetu wa China wanaozifuata kwa vitendo sunna za Bwana Mtume (s.a.w.) si kwa kumpigia dufu na kula pilau tu, Waislamu wenzetu wa Afrika Kusini wanaikaribia Uchina katika nyanja hiyo. 
    Baadhi ya taasisi za Kiislamu zimelifanya somo la sanaa ya mapigano (Martial art) kuwa ni moja ya masomo muhimu kabisa kwenye shule zao, kuanzia madrasa za mitaani, shule za watoto wadogo hadi vyuo vya elimu ya juu. 
    Zipo baadhi ya madrasa zimefikia hatua ya kuwarudisha darasa (kurudia mwaka) kwa wale wanafunzi waliofeli vibaya somo hilo. Miongoni mwa mitindo niliyowahi kuiona ikitumiwa sana nchini humo na baadhi ya taasisi za Kiislamu ni pamoja na Carate ya Kijapan maarufu sana kwa jina la ‘Goju lau’mtindo ambao unafunza mbinu ngumi na staili za kujihami. 
    Mitindo mingine ya mapigano ni pamoja na Judo, Kungfu, Shaolin, Taiji na Taiji Boxing, na hata shotokan na Tiechi (inner structure na outer structure). 
    Mitindo hiyo pamoja na Tao na Yoga wameirekebisha kidogo na kuiweka katika sura ya Kiislamu. Hivyo kama Uchina ni mbali (ingawa mtume amesema tutafute elimu japokuwa China)tunaweza kujifunza mengi kwa ndugu zetu karibu. 
    "Wapo vijana wengi wa Kiislamu Tanzania ambao ni mabingwa katika sanaa ya mapigano, hata hivyo ustadi wao unawasaidia (unawanufaisha) madhalimu. Ni vyema tukiitafuta njia nzuri ya kuwarejesha mastadi hawa wausadie Uislamu na Waislamu wenzao. Itakuwa vizuri Waislamu na taasisi zao hasa misitiki mwashule na madrasa za mitaani wakianza programu hiyo sasa". 
     
    Juu