Timothy Marko.
KIWANGO cha mauzo yahisa katika soko lahisa la Dar es salam (DSE)
kimeshuka kutoka shilingi bilioni 6 hadi kufikia blioni mbili kwakipindi cha wiki iliyopita .
akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Meneja Biashara na mauzo Wa soko hilo,Patrick Mmsusa amesema kushuka kwa mauzo hayo yahisa jijini Dar es salam kumetokana na serikali kuamua kuuza hisa zake nakuongezeka kwa wawekezaji katika soko hilo la hisa .
''Kiashiria cha soko kimeshuka nakufikia asilimia 0.9 wakati huo huo serikali imeweza kuuza hisa zake ambazo awali alizinunua nakutoka kwenye makampuni mbalimbali hususan akauti ya TBL '' alisema Patrick Mmsusa .
Meneja Patrick Msusa alisema kuwa kampuni zinazo ongoza kwa kuuza hisa nipamoja CRDB ,TBL , nakampuni ya sigara ya TCC,wakati kiashiria cha soko kimeshuka hadi kufikia asilimi0.9
Alisema kuwa soko hilo la hisa limeanzisha huduma maalum ya kuuza hisa zake kwanjia yasimu ambapo mteja atapiga *150*36|\ .