Saturday, November 30, 2013

KARIBUNI

BEGEJA WUSHU CLUB inapenda kuwakaribisha wadau mbalimbali wa mafunzo ya Upiganaji wa Wushu kutoka Ilala, Mchikichini, jengo la ccm, Dar es salaam, Tanzania. NYOTE MNAKARIBISHWA.